maonyesho

IQNA

IQNA – Nakala nadra ya Qur’ani Tukufu, inayokadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 1,000, kwa sasa inawavutia wageni wengi katika Maonesho ya ‘Iqra’ yanayofanyika katika Msikiti Mtukufu (Al-Masjid al-Haram) huko Makka.
Habari ID: 3482496   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/17

IQNA – Hafla ya kifahari imefanyika katika mji mkuu wa Morocco kuadhimisha mgeni wa milioni 10 kutembelea Makumbusho na Maonesho ya Sira (Maisha) ya Mtume Muhammad (SAW) pamoja na Ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3482171   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/27

IQNA-Maonesho ya Ramadhani yajulikanayo kama “FIRam 2026” yamefanyika siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Michezo wa Midombo, mjini Cotonou , mji mkuu wa kiuchumi wa Jamhuri ya Benin.
Habari ID: 3481933   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA – "Misikiti katika Uislamu" ni jina la maonyesho ya sanaa yaliyozinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Paris, mji mkuu wa Ufaransa.
Habari ID: 3481379   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/18

IQNA – Maonyesho ya Kimataifa na Makumbusho ya Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) pamoja na Ustaarabu wa Kiislamu yamezinduliwa katika Mnara wa Saa, katika mji mtukufu wa Makkah, siku ya Jumanne.
Habari ID: 3481152   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/29

IQNA – Mwaka huu, kwa mara ya sita mfululizo, vijana Waislamu wa madhehebu Kishia wa jamii ya Khoja Ithnashari nchini Tanzania wameandaa maonyesho ya Muharram yenye kaulimbiu ya "Subira na Msimamo wa Bibi Zaynab (SA)”.
Habari ID: 3480984   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22

IQNA – Masjid al Haram au Msikiti Mkuu katika mji mtukufu wa Makka ni mwenyeji wa maonyesho kuhusu historia ya Kaaba.
Habari ID: 3480343   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA – Tukio la kisanii lilifanyika tarehe 31 Oktoba 2024, kwenye Haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, likiangazia mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unazikoloni ardhi za Palestina.
Habari ID: 3479683   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01

Utamaduni
IQNA - Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz mjini Riyadh imezindua maonyesho yenye nakala 42 za Qur'ani 42 ambazo kila moja imeandikwa kwa kaligrafia ya Kiislamu na mapambo ya aina yake.
Habari ID: 3478529   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Qur'ani Tukufu
IQNA - Maonyesho yanayoangazia kazi za sanaa za Qur'ani Tukufu na bidhaa husika kutoka Iran yamezinduliwa katika mji mkuu wa Thailand wa Bangkok.
Habari ID: 3478317   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Utamaduni
TEHRAN (IQNA)-Tajikistan inayozungumza Kiajemi ni mgeni wa heshima katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu Tehran ambayo yalifunguliwa Jumatano Ukumbi wa Eneo la Kitamaduni la Imam Khomeini Mosalla mjini Tehran.
Habari ID: 3476991   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/12

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania kimeandaa maonyesho ya Hijabu kwa ushirikiano na Taasisi ya Pink Hijab.
Habari ID: 3474897   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06

TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

Kwa mwaka wa pili mfululizo
Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Vyombo vya Habari Iran yamefungwa huku kibanda cha IQNA kikitangazwa kuwa kibanda bora zaidi katika masuala ya kidini.
Habari ID: 3470669   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

IQNA-Kenya itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kwanza ya kimatiafa ya bidhaa na huduma halali eneo la bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Habari ID: 3470653   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono karne saba zilizopita zimeanza kuonyesha katika Taasisi ya Smithsonian, mjini Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470626   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Waziri wa Utamaduni na Muongozi wa Kiislamu Iran Ali Jannati amefungua Maoneysho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran Jumatatu usiku.
Habari ID: 3470385   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14

Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanatazamiwa kuanza mjini Tehran katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3470349   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31

Shirika la Kimataifa la Habari za Qur'ani (IQNA) imepata zawadi ya shirika bora la habari za kidini katika Maonyesho ya 21 ya Habari na Mashirika ya Habari mjini Tehran.
Habari ID: 3449242   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14