iqna

IQNA

Tasua
Muharram 1445
TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara milioni 16 wameingia Karbala, Iraq katika siku 10 za kwanza za mwezi wa Muharram mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3477358    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/30

Muharram 1445
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua .
Habari ID: 3477347    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/27

Maombolezo ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3475590    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07

Katika mkesha Tasu'a ya Imam Hussein AS, waislamu, hasa wa Madhehebu ya Shia wameghiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa siku hii.
Habari ID: 3474202    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

TEHRAN (IQNA) -mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua huku wakizingatia kanuni za kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473114    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote duniani usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo na kukumbuka misiba na masaibu yaliyomkuta mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW, Imam Hussein bin Ali AS, ndugu na mswahaba zake waaminifu huko Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3472121    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/09