IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mlipuko mkubwa umejiri Jumanne Agosti 5 2020 katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut na kusababisha zaidi ya watu 100 kupoteza maisha na wengine wasiopungua 4,000 kujeruhiwa.

Jitihada za kuwatafuta watu wanaoaminika kukwama katika vifusi zingali zinaendelea.