IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wanaendelea kusherekehea ushindi wa harakati za mapambano ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Baada ya utawala huo kuanzisha vita dhidi ya Ghaza Mei 10, hatimaye utawala huo ulilazimiak kutangaza kusitisha vita Ijumaa 21 Mei baada ya kushindiwa kufikia malengo yake kutokana na jibu kali la wanamapambano wa Palestina.

 
 
Kishikizo: ghaza ، palestina ، israel