IQNA

Haram Takatifu ya Hadhrat Masouma (SA) katika mji wa Qum nchini Iran siku hizi ni mwenyeji wa mijimuiko ya maombolezo kwa mnasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi wakujuu wake, yaani Imam Hassan Mujtaba AS na Imam Ridha AS.