IQNA – Toleo la tatu la Mkutano wa Kimataifa wa “Mtume Mkuu (SAW)” ulianza Jumamosi katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a.
Habari ID: 3481237 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/15
Mawaidha
IQNA – Msomo mmoja wa Kiislamu kutoka Iran amesisitiza kuwa mfano wa Mtume Muhammad (SAW) katika uvumilivu, msamaha na uongozi wa kuunganisha jamii ni wa kipekee na haujawahi kulinganishwa hadi leo.
Habari ID: 3481232 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/14
IQNA – Mtume Muhammad (SAW), kipenzi cha Umma wa Kiislamu, alitoa mwongozo wa wazi kwa ajili ya kukuza roho na imani ya Waislamu kwa kusisitiza umuhimu wa kufahamu Qur’ani, kutafakari aya zake, na kushiriki katika vikao vya Qur’ani.
Habari ID: 3481225 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/13
IQNA – Mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW), yakielezwa kwa lugha ya leo, yanaweza kusaidia kuziba pengo kati ya zama za kale na maisha ya kisasa, sambamba na kukabiliana na tatizo la ujinga wa kidini, kwa mujibu wa mwanazuoni mmoja kutoka Iran.
Habari ID: 3481223 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/13
IQNA – Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Milad un Nabii kwa kutoa wito wa kutafakari juu ya ujumbe wake wa huruma, haki, na heshima ya kibinadamu kwa ulimwengu mzima.
Habari ID: 3481220 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/12
IQNA – Msimamizi wa haram ya Hazrat Abbas (AS) huko Karbla, Iraq ametangaza kutolewa kwa stempu maalum ya kumbukumbu kwa ajili ya kuadhimisha miaka 1,500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3481215 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/11
IQNA – Mwanazuoni mashuhuri wa Al-Azhar, Dkt. Salama Abd Al-Qawi, ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kwa kutoa wito wa kutafakari urithi wake na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu leo.
Habari ID: 3481214 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/11
IQNA – Mufti Mkuu wa Kroatia, Sheikh Aziz Hasanović, amesema kuwa Mtume Mtukufu Muhammad (rehema na amani zimshukie) ameitoa amri kwa Ummah wa Kiislamu—na hiyo ni kudumisha umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3481209 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/09
IQNA – Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Imam Sadiq (AS) nchini Iran ameelezea Sira na mafundisho ya Mtume Muhammad (S.A.W.) kuhusu ulinzi wa mazingira, ikiwemo yale yanayohusu kutotumia maji ovyo.
Habari ID: 3481149 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/28
IQNA – Mji mtukufu wa Karbala, Iraq, umefurika wafanyaziyara kwa wingi mno katika siku za mwisho ya mwezi wa Safar, kwenye makaburi matukufu ya Imam Hussein (AS) pamoja na ndugu yake, Hadhrat Abbas (AS).
Habari ID: 3481123 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/23
IQNA – Mwanazuoni kutoka Iran amesisitiza mafanikio ya kihistoria yaliyopatikana na Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) kwa kuunda Umma mmoja ulioshikamana, kutoka jamii za kikabila zilizokuwa zikitumbukia katika migawanyiko na mifarakano.
Habari ID: 3481122 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/22
IQNA –Mihadhara kuhusu “Nafasi na Umuhimu wa Familia katika Sira ya Mtume Mtukufu Muhammad (SAW)” imefanyika katika misikiti mbalimbali nchini Misri.
Habari ID: 3481031 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02
IQNA – Mamlaka ya Iran imetangaza kuwa mfululizo wa matukio ya kitaifa na ya kimataifa yatafanyika kwa ajili ya kuadhimisha miaka 1500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (Rehema na Amani Zimshukie Yeye na Watu wa Nyumba Yake).
Habari ID: 3480944 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/14
IQNA – Kibonzo kilichoonekana kuwataja Manabii wa Mwenyezi Mungu kwa njia ya dhihaka kiliibua lawama nyingi nchini Uturuki, ikiwemo kutoka kwa Rais wa nchi hiyo.
Habari ID: 3480884 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/02
Maulidi
IQNA – Waislamu nchini Ethiopia walisherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume (SAW) kwa sherehe za kidini kote nchini.
Habari ID: 3479448 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17
Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti na maeneo yenye makaburi matakatifu nchini Iran yatakuwa na hafla maalum za usomaji wa Qur'ani katika mkesha wa kumbukumbu ya kufariki kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW.).
Habari ID: 3479357 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31
Ramadhani katika Qur'an /3
IQNA - Moja ya Hadith maarufu zilizosimuliwa kuhusu Ramadhani ni katika khutba ya Mtukufu Mtume (SAW) iliyotolewa katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Shaaban.
Habari ID: 3478535 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18
Mtazamo
IQNA-Alhamisi tarehe 27 Rajab 1445 Hijria sawa na Februari 8 mwaka 2024 Miladia inasadifiana na siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu na ya kipekee katika Uislamu.
Habari ID: 3478319 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07
Taarifa ya ISESCO
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Nchi za Kiislamu la Utamaduni, Elimu na Sayansi (ICESCO) lilitangaza kurefushwa muda wa Maonyesho ya Kimataifa ya Seerah ya Mtume Muhammad SAW na Ustaarabu wa Kiisilamu katika makao makuu yake huko Rabat, Moroko, kwa miezi mingine sita.
Habari ID: 3476929 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Kuna Hadithi nyingi kuhusu umuhimu na fadhila za mwezi mtukufu wa Ramadhani na miongoni mwazo ni hotuba ya Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3476758 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/25