IQNA

Waislamu na Uislamu Malaysia

Msikiti wa Putra nchini Malaysia

KUALA LUMPUR (IQNA) – Ukiwa na rangi ya kipekee ya waridi na usanifu majengo wa aina yake, Msikiti wa Putra unapatikana katika mji mkuu wa Malaysia,Kuala Lumpur.

Msikiti huo umejengwa karibu na Ziwa la Putrajaya katika eneo la hekta moja. Ujenzi wa Msikiti wa Putra ulianza mwaka 1997 na ulidumu kwa miaka mitatu hadi 1999. Msikiti huo umepewa jina la Putra kwa heshima ya Waziri Mkuu wa kwanza wa Malaysia, Tunku Abdul Rahman Putra Al-Haj.

Kishikizo: malaysia ، msikiti ، putra