iqna

IQNA

IQNA – Kongamano la Dunia la Qur’ani 2025 linatarajiwa kufanyika leo katika Kituo cha Biashara cha Dunia, Kuala Lumpur (WTCKL), likiendana na Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Usomaji na Uhifadhi wa Qur’ani (MTHQA).
Habari ID: 3481050    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/07

IQNA – Jenan Nabil Mohammed Nofal ni hafidha wa Qur’ani Tukufu anayewakilisha Palestina katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Usomaji na Uhifadhi wa Qur’ani yanayofanyika nchini Malaysia.
Habari ID: 3481047    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/06

IQNA – Malaysia imezidisha juhudi za kuitangaza Qur'an Tukufu kama mwongozo wa maisha yenye maadili, kwa lengo la kulea kizazi chenye msingi imara wa tabia njema na uchamungu.
Habari ID: 3481041    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/06

IQNA – Mohsen Qassemi, aliyeteuliwa kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Malaysia, alitoa qiraa’ yake Jumapili usiku katika ukumbi wa mashindano hayo mjini Kuala Lumpur.
Habari ID: 3481039    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/05

IQNA – Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu (MTHQA) yamefunguliwa rasmi katika mji mkuu wa Malaysia, Kuala Lumpur, siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3481034    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/03

IQNA – Mtaalamu mkongwe wa Qur’ani, Gholam Reza Shahmiveh, amezungumzia umuhimu wa uadilifu na kuwepo kwa Iran katika jopo la majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji na Uhifadhi wa Qur’ani ya Malaysia.
Habari ID: 3480991    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23

IQNA – Kwa mara ya kwanza baada ya karibu miongo miwili, mtaalamu wa Qur’an Tukufu kutoka Iran atahudhuria kama jaji katika mashindano ya kimataifa ya Qur’an nchini Malaysia.
Habari ID: 3480981    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22

IQNA – Toleo la 65 la Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur’ani Malaysia (MTHQA) litazinduliwa tarehe 2 Agosti katika Kituo cha Biashara cha Dunia Kuala Lumpur (WTCKL).
Habari ID: 3480949    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15

IQNA – Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, alifungua rasmi Mashindano ya Kitaifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur'ani kwa mwaka 1446H/2025. 
Habari ID: 3480604    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/28

IQNA – Mvulana M malaysia mwenye tatizo la kiakili lijulikanalo kama usonji(autism) ameweza kuhifadhi Qur'ani nzima kwa kipindi kifupi cha miezi minne pekee. 
Habari ID: 3480589    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/24

IQNA – Bi kizee mwenye umri wa miaka 117, anayeaminika kuwa miongoni mwa wazee zaidi nchini Malaysia, ameonyesha shukrani kwa kuwa na uwezo wa kusherehekea Idul Fitr nyingine akiwa na familia yake.
Habari ID: 3480486    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Licha ya ulemavu wa machi, Muhammad Hafizuddin Muhammad Amirul Hakim Linges mwenye umri wa miaka 10 ana uwezo wa kipekee.
Habari ID: 3480482    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01

IQNA – Waziri mmoja wa Malaysia ameitaja Qur'ani kama nuru inayoongoza na dira kwa kila hatua maishani.
Habari ID: 3480402    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Malaysia inashuhudia ongezeko kubwa la watalii Waislamu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480357    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12

IQNA – Jimbo la Perlis nchini Malaysia limekamilisha mashindano ya Qur'ani ya ngazi ya jimbo ambapo wito ulitolewa ili kukuza utamaduni wa Qur'ani .
Habari ID: 3480269    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26

Harakati za Qur'ani
IQNA – Taasisi ya Yayasan RI imetoa takriban $875,000 milioni kusaidia Mradi wa Tafsiri ya IshaRI, ukilenga kutafsiri Qur'ani Tukufu katika Lugha ya Ishara ya Malaysia (MSL) kwa jamii ya viziwi.
Habari ID: 3479789    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22

Teknolojia
IQNA - Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amedokeza umuhimu wa kuwapa vijana wa Kiislamu elimu ya Kiislamu na ujuzi wa kiteknolojia ili kufundisha maadili ya Kiislamu katika nyanja kama vile Akili Mnemba (AI).
Habari ID: 3479736    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Maafisa kutoka Iran na Malaysia wamesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Qur'ani.
Habari ID: 3479630    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22

IQNA - Ukumbi wa Kituo cha Biashara Cha Dunia huko Kuala Lumpur kilikuwa mwenyeji wa sherehe za kufunga Mashindano ya 64 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia Jumamosi usiku, Oktoba 12, 2024.
Habari ID: 3479589    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Harakati za Kiislamu
IQNA - Mwanasiasa wa Malaysia amesisitiza kuhusu umuhimu wa kufuata Sira ya Mtukufu Mtume Muammad (SAW) kwa Umma wa Kiislamu ili kufikia umoja.
Habari ID: 3479588    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13