IQNA

Itikafu ya Mwezi wa Rajab katika Misikiti ya Iran

IQNA – Misikiti kote Iran imewakaribisha watu ibada za Itikaf ambazo zilianza tarehe 13 ya mwezi wa Hijria wa Rajab (Januari 14, 2025) na kumalizika tarehe 15 ya Rajab (Januari 16). Itikafu ni ibada katika Uislamu ambayo inahusisha kukaa msikitini kwa idadi fulani ya siku, ambapo waumini hujishughulisha na ibada mbali mbali zikiwamo kuswali, kusoma Qur'ani Tukufu, dua na saumu.
 
 
Kishikizo: itikafu ، rajab