IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudia ya Huduma za Mambo ya Msikiti Mkuu wa Makka, Masjidul al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, imetangaza kwamba usajili wa itikafu kwenye maeneo hayo mawili matakatifu utaanza Jumatano, Machi 5.
Habari ID: 3480289 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02
IQNA – Misikiti kote Iran imewakaribisha watu ibada za Itikaf ambazo zilianza tarehe 13 ya mwezi wa Hijria wa Rajab (Januari 14, 2025) na kumalizika tarehe 15 ya Rajab (Januari 16). Itikafu ni ibada katika Uislamu ambayo inahusisha kukaa msikitini kwa idadi fulani ya siku, ambapo waumini hujishughulisha na ibada mbali mbali zikiwamo kuswali, kusoma Qur'ani Tukufu, dua na saumu.
Habari ID: 3480070 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18
Mawaidha
IQNA – Ujumbe muhimu zaidi wa ibada ya kiroho ya Itikaf (kujipinda katika ibada) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ni kuhamasisha na kuendeleza utamaduni wa dini ya Kiislamu katika vyuo vikuu.
Habari ID: 3480033 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11
Vijana katika Ibada
IQNA - Misikiti katika miji tofauti ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na Dar es Salaam, Tanga, Kigoma na Moshi iliandaa matambiko ya Itikaf wiki hii.
Habari ID: 3478262 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27
Ibada
IQNA - Zaidi ya Waislamu 70,000 kutoka nchi 22 wamejiandikisha kushiriki katika ibada ya itikafu au itikaf katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478059 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19
TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW, Masjid an-Nabawi, mjini Madina umesajili watu 4,000 watakaoshiriki katika Itikafu wakati wa siku 10 za mwisho za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475156 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22