Awamu hii ya mashindano, itakayoshirikisha maqari na wahifadhi Qur'ani 57, kutoka nchi 27, itakamilika Ijumaa, tarehe 31 Bahman, kwa sherehe ya kutangaza washindi bora katika nyanja za kuhifadhi Qurani nzima, qiraa ya Tajweed) na qiraa ya Tarteel, kwa wanaume na wanawake.