IQNA - Mashindano ya duru ya mwisho katika sehemu ya wanawake ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yalianza Jumamosi.
Picha zifuatazo ni za washiriki wa mashindano hayo yanayoendelea katika Ukumbi wa Mkutano wa Tehran. Aidha katika picha hizi kuna wajumbe wa jopo la waamuzi wa kitengo hicho cha wanawake.