iqna

IQNA

mashhad
 IQNA – Toleo la 18 la Maonesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran yatafunguliwa katika mji huo mtukufu mnamo Machi 3.
Habari ID: 3480273    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26

IQNA – Kampeni iliyopewa jina “Kwa Jina la Ushindi” imezinduliwa na Taasisi ya Astan Quds Razavi (Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Ridha -AS-) nchini na itaendelea hadi mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480238    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18

Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qurani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yataanza 26 Januari 2025 katika ukumbi wa Quds wa Haram ya Imam Ridha (AS), mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3480091    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/22

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wakati wa raundi ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, programu mbalimbali za Qur'ani zitafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad.
Habari ID: 3480088    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi wa nchi 27 watashindana katika hatua ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3480085    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu
IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea na maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480082    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

IQNA - Mkuu wa Shirika la Masuala ya Wakfu na Misaada Iran amesema uendelezaji wa maisha kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu ni lengo kuu la mashindano ya Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3479823    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28

Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

Mwezi wa Safar
IQNA – Wafanyaziara takribani milioni 3 wanatarajiwa kutembelea mji mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, kulingana na afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479353    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kuna maandishi mengi ya Qur'ani Tukufu yanayohifadhiwa kwenye Maktaba ya Astan Quds Razavi mjini Mashhad, nchini Iran, ukiwemo Mus'haf Mashhad ambao umetajwa ni nakala kamili zaidi katika maandishi ya Kikufi ya Hijaz.
Habari ID: 3478554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Turathi ya Kiislamu
KARBALA (IQNA) – Kopi ya nakala ya kodexi ya Msahahafu wa karne 14 zilizopita wa Mashhad, (Mus'haf Mashhad Razawi) imekabidhiwa Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3478012    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09

Turathi ya Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Kumefanyika sherehe katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran kwa lengo la kuzindua Msahafu ambao uliandikwa karne 14 zilizopita.
Habari ID: 3477906    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Ustaarabu wa Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Ninafumba macho yangu na mbele yangu naona Haram Takatifu (kaburi) yenye kubaa linalong’aa kwa utukufu wakati machweo yanapoingia.
Habari ID: 3477614    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Sikukuu ya Nowruz
TEHRAN (IQNA) - Takriban wafanyaziara milioni 4.3 kutoka kote Iran pamoja na nchi nyingine walitembelea mji mtakatifu waMashhad katika siku chache zilizopita wakati Wairani wakisherehekea Nowruz, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3476749    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23

Mashhad
TEHRAN (IQNA)-Maandalizi yanaendelea katika mji mtakatifu wa Mashhad, kaskazini-mashariki mwa Iran, kupokea kwa furaha mamilioni ya wafanyaziara wanaopanga kutembelea jiji hilo wakati wa likizo ya Nowruz yam waka mpya wa Hijria Shamsia (kuanzia Machi 21).
Habari ID: 3476655    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/04

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Mfawidhi Haram Takatifu ya Imam Ridha AS mjini Mashhad anasema umoja kati ya Waislamu na Wahindu ulikuwa muhimu katika kuwashinda wakoloni, na kuongeza kuwa hivi kuna njama za kupanda mbegu za ugomvi kati ya vikundi hivi vya India.
Habari ID: 3475284    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

TEHRAN (IQNA) Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa hivi karibuni katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran na kusababisha kuuawa shahidi maulamaa wawili.
Habari ID: 3475112    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA)- Kumetolewa pendekezo la kujengwa barabara kutoka mji mtakatifu wa Mashhad nchini Iran hadi mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3474391    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha AS, mmoja kati ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474029    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21

TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo.
Habari ID: 3473267    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17