IQNA

Mashindano ya Qur'ani

Sherehe za Kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran-PICHA

IQNA - Hafla ya kuhitimisha Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ilifanyika Jumatano jioni mjini Tehran. Washindi wa kategoria tofauti katika sehemu za wanaume na wanawake walitajwa na kutunukiwa zawadi na vyeti katika hafla hiyo, ambayo ilihutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raeisi na Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu Mohammad Mehdi Esmaeili.
 
Habari zinazohusiana