Hafla ya Usomaji wa Qur'ani ya Mwezi wa Ramadhani Kashmir
IQNA – Hafla ya usomaji wa Qur'ani Tukufu hufanyika kila siku katika misikiti na kumbi za kidini zijulikanazo kama Hussainiya katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mpiga picha ni Ubaid Mukhtar