iqna

IQNA

kashmir
Kadhia ya Kashmir
IQNA - Mamlaka katika eneo linalozozaniwa la Kashmir linalotawaliwa na India haikuruhusu Sala ya Ijumaa ya jamaa kwenye Msikiti wa Jamia huko Srinagar kwa wiki ya kumi mfululizo.
Habari ID: 3478042    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Msahafu uliuzwa kupitia Soothbay, nakala hii iliandikwa na Murtaza ibn Jawad kwa ajili ya Aqa Muhammad Baqir mwaka 1821- hadi mwaka 1822.
Habari ID: 3477140    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/13

Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi.
Habari ID: 3475646    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Pakistani Imran Khan alisema nchi yake daima itabaki kuwa ngome ya Uislamu na mtetezi wa haki na maslahi ya Waislamu duniani kote.
Habari ID: 3475061    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa haikuruhusiwa kufanywa kwa wiki ya 28 mfululizo kwenye Msikiti Mkuu huko Srinagar, katika eneo la Kashmir linalozozaniwa na ambalo linatawaliwa na India
Habari ID: 3474923    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12

TEHRAN (IQNA)- Kashmir ni moja kati ya maeneo maridadi zaidi duniani yenye mandahru za kuvutia za kimaumbile. Wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakifuata dini tukufu ya Kiislamu kwa muda mrefu na kuna misikiti iliyojengwa karne kadhaa zilizopita katika ardhi hii yenye mvuto wa kipekee.
Habari ID: 3474547    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuweka hatua kandamizi za usalama wakati huu kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.
Habari ID: 3473038    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Kiislamu la Haki za Binadamu (IHRC) lenye makao yake London amelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu ukandamizaji wa jamii za Waislamu waliowachache nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3472989    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/22

TEHRAN (IQNA) - Waziri Kiongozi wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan amesema kuwa upatanishi wa Marekani katika utatuzi wa mzozo wa eneo hilo hautakuwa na maslahi kwa Waislamu huku Siku ya Kashmir ikiadhimishwa kote duniani.
Habari ID: 3472446    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/07

TEHRAN (IQNA) – India imeweka sheria ya kutotoka nje katika sehemu kadhaa la eneo linalozozaniwa la Kashmir baada ya jeshi kkuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wanashiriki katika maombolezo ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3472120    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/08

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema anasikitishwa na hali waliyonayo Waislamu wa eneo la Kashmir nchini India.
Habari ID: 3472095    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran ametaka vyombo vya mahakama nchini viwatetee Waislamu wanaodhulumiwa duniani
Habari ID: 3471049    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04

Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalidhibitiwa na India.
Habari ID: 3470465    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/19