Kwa mujibu wa Idara ya Utamaduni ya Iran mjini Lahore, Maulana Muhammad Ubaidullah Rais wa Chuo Kikuu cha Kidini cha “Jamiatul Ashrafiya” ameshiriki katika sherehe za uzinduzi wa ukurasa huo wa intaneti wa “Qur'ani na Hadith” wa mji wa Lahore na kutoa maelezo kuhusu mtandao huo kwa hadhirina.
Aidha katika hafla hiyo, Maulana Hafidh Fadhlulrahman, afisa anayeshughulikia masomo katika Chuo Kikuu cha Kidini cha na wanazuoni kadhaa wa nchi hiyo walihudhuria sherehe za uzinduzi wa ukurasa huo wa intaneti. 357612