Mkuu wa Kituo cha Utamaduni na Maarifa ya Kiislamu nchini Iran Hujjatul Islam Walmuslimin Muhammad Swadiq Yusufi amesema kuwa kamusi hiyo ya Qur'ani ambayo ndiyo kubwa zaidi katika uwanja huo katika ulimwengu mzima wa Kiislamu, imetarjumiwa na kuchapishwa mjini London kufuatia makubaliano ya ushirikiano wa kueneza utamaduni na maarifa ya Qur'ani kati ya Kituo cha Utafiti wa Elimu na Utamaduni wa Kiislamu nchini Iran na Chuo cha Kiislamu cha London.
Kamusi hiyo inakusanya zaidi ya maneno elfu tatu ambayo chini yake yanajumuisha aya za Qur'ani, maelezo na maarifa kuhusu aya hizo.
365358