Nakala 2500 za tarjumi hiyo ya Qur'ani zimekabidhiwa kwa Sheikh Ali Juma Mayunga kwa ajili ya kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Tarjumi hiyo imeambatanishwa na tafsiri ya "Khulasatu Tafsiri" iliyoandikwa na Sheikh Mahmoud Tehrani. 383720