IQNA

Maombolezo Tehran katika usiku wa 7 wa Muharram

TEHRAN (IQNA)- Watu kote Iran wanaendelea na mijimuiko kwa ajili ya kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu 72 katika janga la Karbala mwaka 61 Hijria Qamaria.

Picha hizi ni za mjumuiko wa watu katika Medani ya Palestina Mjini Tehran katika siku ya 7 ya Muharram. Mijimuiko hii inafanyika katika maeneo ya wazi kwa kuzingatia kanuni za kiafya za kuzuia kuenea COVID-19.

 
 
Kishikizo: tehran ، muharram ، waislamu ، imam hussein as