iqna

IQNA

IQNA – Akiwatakia heri ya Idul Adha Waislamu kote duniani, Khatibu wa Swala ya Idi iliyosaliwa leo Tehran ameielezea Idihii tukufu kuwa ni sikukuu ya umoja wa Ummah wa Kiislamu, na maadhimisho ya ibada na kujisalimisha kwa Mola.
Habari ID: 3480797    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/06

IQNA- Ustadh Hadi Mowahhed Amin, qari wa kimataifa wa Iran, asubuhi ya Mosi Shawwal 1446 Hijria (31 Machi 2025) katika mwanzo wa hafla ya Swala ya Idul Fitr jijini Tehran, alisoma aya za Surah ya Al-A‘laa katika Qur'ani Tukufu. Swala hiyo iliswalishwa na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3480494    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04

IQNA – Dhifa ya futar imeandaliwa Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, kwa ajili ya mabalozi na wawakilishi wa nchi za Kiislamu walioko Tehran. 
Habari ID: 3480401    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Waislamu wanapaswa kutekeleza mafundisho ya Qur'an kivitendo na si tu kuonyesha kidahiri kuwa wanakipenda Kitabu hicho Kitukufu, amesema msomi mmoja wa Yemen.
Habari ID: 3480341    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA –Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yameanza kupokea wageni baada ya sherehe rasmi ya ufunguzi.
Habari ID: 3480314    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06

Ibada
IQNA-Eneo kubwa la Swala la Tehran maarufu kama Mosalla Imam Khomeini litapanuliwa na kuwa msikiti mkubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3480275    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/27

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon Sheikh Ghazi Hunaina amesema kukabiliana wakufurishaji ni hatua ya lazima kuelekea kupatikana kwa umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3479494    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Wiki ya Umoja
IQNA- Toleo la 38 la Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litaanza katika mji mkuu wa Iran siku ya Alhamisi, wakati wa Wiki ya Kimataifa ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479435    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walitembelea Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran siku ya Ijumaa, Mei 10, ambayo yaliadhimisha siku ya tatu ya tukio hilo kuu.
Habari ID: 3478811    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12

Utamaduni
IQNA - Yemen inashiriki katika Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran kama mgeni rasmi kwa lengo la kuimarisha utamaduni wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.
Habari ID: 3478808    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12

Idul Fitr
IQNA - Makumi ya maelfu ya waumini leo Jumatano asubuhi walikusanyika kwenye Uwanja  wa Swala wa Mosalla Imam Khomeini katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kwa ajili ya  Sala ya Idul Fitr inayoashiria kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478667    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Sikukuu ya Idul Fitr
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478662    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Habari ID: 3478610    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kimefika ukingoni Alhamisi
Habari ID: 3478599    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kazi tisini zilizochaguliwa za sanaa zinaonyeshwa katika sehemu ya sanaa ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3478566    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Diplomasia ya Qur’ani
IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Hadhi ya Qur'ani Tukufu katika Afrika ya Sasa" lilifanyika katika Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Ijumaa usiku.
Habari ID: 3478561    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kuna maandishi mengi ya Qur'ani Tukufu yanayohifadhiwa kwenye Maktaba ya Astan Quds Razavi mjini Mashhad, nchini Iran, ukiwemo Mus'haf Mashhad ambao umetajwa ni nakala kamili zaidi katika maandishi ya Kikufi ya Hijaz.
Habari ID: 3478554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa sehemu ya Hijabu na Ifaf ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ameleeza kuwa ni moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi katika maonyesho hayo ya kila mwaka.
Habari ID: 3478540    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatafanyika wakati wa likizo ya Nowruz, yaani mwaka mpya wa Kiirani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478276    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
IQNA-Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema kuwa, leo hii Yemen shujaa inaungwa mkono kila upande na kwamba licha ya kupita siku 100 tangu utawala wa Kizayuni uanzishe jinai zake kila upande lakini imeshindwa kufikia malengo yake huko Ghaza.
Habari ID: 3478188    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/12