IQNA

Qari wa Oman akisalisha katika Msikiti nchini Jordan

TEHRAN (IQNA) – Qari Hazza Al Balushi ni kijana kutoka Oman mwenye kipaji cha kusoma Qu’ani Tukufu kwa sauti nzuri.

Alizaliwa mwaka 1995 katika mkoa wa Liwa eneo la Al Batinah nchini Oman. Amepata shahada yake ya kwanza katika taaluma ya sayansi za siasa na uchumi katika Chuo Kikuu cha Sultan Qaboos.

Klipu hii hapa chini ni ya qiraa yake ya aya za 56 hadi 62 za Surah al Ahzab wakati akisalisha katika Msikiti wa Al Rahma nchini Jordan.

3996739

Kishikizo: qari ، oman ، jordan ، Hazza al balushi