IQNA- Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'an nchini Jordan yamefikia tamati kwa kutangaza washindwa na kutunukukiwa zawadi waliofika nafasi za juu.
Habari ID: 3480465 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29
IQNA – Hossein Khani Bidgoli kutoka Iran amesema alikuwa na furaha na jinsi alivyofanya katika Mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan.
Habari ID: 3480420 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23
IQNA – Jordan imezindua mashindano yake ya 32 ya Qur'ani ya kimataifa, yanayojulikana kama Tuzo ya Qur'ani ya Kimataifa ya Jordan , kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 51.
Habari ID: 3480413 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22
Harakati za Qur'ani
IQNA – Waziri wa Wakfu, Masuala ya Kiislamu, na Maeneo Matakatifu wa Jordan, Mohammad Al-Khalayleh, ametangaza uzinduzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani kwa wanafunzi wakati wa likizo ya shule ya majira ya baridi ya 2024/2025.
Habari ID: 3480019 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/08
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mgomo wa kula ulioanzishwa na idadi kadhaa ya wanaharakati wa Jordan kwa mshikamano na watu wa Gaza umeingia siku yake ya kumi Jumatatu.
Habari ID: 3479741 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Kadhia ya Palestina
IQNA - Chuo Kikuu cha Hashemite cha Jordan kimeshutumiwa kwa kuwakandamiza wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
Habari ID: 3479720 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Quds Tukufu hatarini
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479392 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 18 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan kwa wanawake yalihitimishwa katika hafla ambayo walioshika nafasi za juu walitangazwa na kutunukiwa.
Habari ID: 3478408 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 18 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan kwa wanawake, yanayojulikana kama "Al-Hashimiya", yalianza Jumamosi huko Amman.
Habari ID: 3478372 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 18 ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanawake ya Jordan yatang'oa nanga katika mji mkuu Amman baadaye leo.
Habari ID: 3478368 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Jordan imechapisha nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu tangu ilipoanzishwa mwaka 1968.
Habari ID: 3478237 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Serikali ya Uswidi inatakiwa kujibu matakwa ya wazi kabisa ya Waislamu kwa kuwajibika na kufuata kikamilifu kanuni za kimsingi za haki za binadamu, kwa kuhimiza maadili na kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti na kuchukua hatua za kivitendo na zenye ufanisi.
Habari ID: 3477679 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Toleo la 30 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jordan yamemefungwa huko Amman Jumatatu usiku.
Habari ID: 3476886 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Bunge la Jordan wamepigia kura ya ndio pendekezo la kufukuzwa balozi wa utawala haramu wa Israel huko Amman wakilalamikia na kupinga hatua ya waziri wa fedha katika serikali ya mrengo wa kulia ya Israel, ambaye alizua utata mapema wiki hii.
Habari ID: 3476744 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/22
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Jordan inapaswa kujiandaa kwa "makabiliano ya kweli" na utawala haramu wa Israel, afisa wa zamani wa Jordan amesema.
Habari ID: 3476743 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/22
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 14 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jordan kwa wanawake yalianza katika mji mkuu wa nchi hiyo , Amman Jumamosi jioni.
Habari ID: 3476663 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/05
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya watu nchini Jordan wanakataa kutambuliwa kwa utawala wa Israel na uhusiano nao, utafiti mpya unaonyesha.
Habari ID: 3476572 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani nchini Jordan na wawakilishi wawili.
Habari ID: 3476306 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Semina ya pili ya Qur’ani ya Chuo Kikuu cha Kiarabu cha Amman katika mji mkuu wa Jordan ilifanyika katika kitivo cha teolojia ya Kiislamu cha chuo hicho.
Habari ID: 3476249 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14