iqna

IQNA

oman
Utamaduni
IQNA - Watu waliotembelea Awamu ya 28 ya maonyesho ya kimataifa ya vitabu katika mji mkuu wa Oman, Muscat walipokea nakala za Qur'ani Tukufu kama zawadi.
Habari ID: 3478450    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Utamaduni
IQNA - Zaidi ya wachapishaji 840 kutoka nchi mbalimbali wanashiriki katika toleo la 28 la maonyesho ya kimataifa ya vitabu katika mji mkuu wa Oman , Muscat 2024. Banda la Iran katika maonyesho hayo ya vitabu limetoa mada zaidi ya anuani 1,000 za vitabu katika hafla hiyo ya kitamaduni.
Habari ID: 3478431    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Mashindano ya Qur'ani
MUSCAT (IQNA) - Washindi wa toleo la 31 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman walitambulishwa na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3477983    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04

Historia na Turathi
TEHRAN (IQNA)- Ujenzi wa Mnara wa ukumbusho wa admeri maarufu Muislamu wa karne ya 15 miladia, Zheng He, ulizinduliwa Alhamisi katika mkoa wa Dhofar nchini Oman.
Habari ID: 3477091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

Utamaduni
TEHRAN (IQNA) – Banda la Oman katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran limeweka vitabu vya maonyesho katika nyanja tofauti, afisa msimamizi wa banda hilo alisema.
Habari ID: 3477014    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili ameitaka serikali ya nchi hiyo ibatilishe uamuzi wake wa kuruhusu anga yake kutumiwa na ndege za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476626    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

Upinzani dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman ametangaza kuafiki na kuunga mkono mpango wa bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina.
Habari ID: 3476339    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
Habari ID: 3476320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini wa Oman amewaenzi washindi wa Duru ya 30 ya Mashindano la Sultan Qaboos la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476315    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe kutoka Oman uko katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, kufanya mazungumzo na wanachama wa ngazi za juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah kuhusu kurefusha usitishaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa nchini Yemen.
Habari ID: 3476286    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

Waislamu wa Oman
TEHRAN (IQNA) - Msikiti mkubwa zaidi wa Oman kwa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ulizinduliwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu, Muscat.
Habari ID: 3476137    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hatua ya awali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos imeanza nchini Oman siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475656    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21

Kususia Israel
TEHRAN(IQNA)- Oman imekataa kuidhinisha ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475608    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11

Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman siku ya Jumamosi alitangaza kuwa nchi yake haitaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel huku akitoa kutoa wito wa kutatuliwa kwa haki suala la Palestina.
Habari ID: 3475308    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)-Oman imetangaza hatua ambazo zinaanza kutekelezwa Januari 23 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474841    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Mvulana mwenye umri wa miaka tisa nchini Oman ambaye anaugua ugonjwa wa tawahudi au autisim ameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474467    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili ametoa wito kwa Ummah wa Kiislamu duniani kuungana na kuwatetea Waislamu wa India.
Habari ID: 3474358    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikitini baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474346    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

TEHRAN (IQNA)- Misikiti ya Oman imeidhinishwa kuanza tena Sala za Ijumaa baada ya kufungwa kwa muda wa mwaka moja na nusu kutokana na janga la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474328    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA) – Qari Hazza Al Balushi ni kijana kutoka Oman mwenye kipaji cha kusoma Qu’ani Tukufu kwa sauti nzuri.
Habari ID: 3474289    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12