IQNA

Utamaduni

Banda la Iran katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Muscat

IQNA - Zaidi ya wachapishaji 840 kutoka nchi mbalimbali wanashiriki katika toleo la 28 la maonyesho ya kimataifa ya vitabu katika mji mkuu wa Oman , Muscat 2024. Banda la Iran katika maonyesho hayo ya vitabu limetoa mada zaidi ya anuani 1,000 za vitabu katika hafla hiyo ya kitamaduni.

.

 
Kishikizo: maonyesho ya vitabu ، oman