IQNA

TEHRAN (IQNA)- Bibi Zainab SA alizaliwa 5 Jamadi Ula mwaka wa 5 Hijria Qamaria mjini Madina na wazazi wake ni Imam Ali AS na Bibi Fatima Zahra SA.
 
Aliolewa na Abd Allah b. Ja'far al-Tayyar na alibarikiwa kuwa na watoto watatu wa kiume ambao ni Ali, Awn, na Jafar na binti mmoja, Umm Kulthum.

Kwa mujibu wa riwaya, aliaga dunia 15 Rajab mwaka 62 Hijria Qamaria na alizikwa katika mji wa Damascus nchini Syria

 
 
Kishikizo: syria ، bibi zainab