iqna

IQNA

Uislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Seneti la Pakistan kwa kauli moja lilipitisha azimio linalopendekeza kwamba ufundishaji wa Qur'ani Tukufu uwe wa lazima katika vyuo vikuu vya nchi hiyo.
Habari ID: 3476417    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17