Al Azhar yatahadharisha kuhusu nakala zilizopotoshwa za Qur'ani

IQNA

Kituo cha Uhakiki wa Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimetahadharisha juu ya kuwepo Qur'ani na Hadithi zilizopotoshwa katika baadhi ya mitandao ya intaneti na mitandao ya kijamii.
Habari ID: 1767    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27