Mtazamo
TEHRAN (IQNA) – Neno “mjumbe” (Rasul) maana yake ni mtu anayeleta ujumbe na kuukabidhi kwa wengine. Jambo la muhimu kuhusu mjumbe huyu ni nani aliyemtuma, sio alicholeta. Utakatifu wa Mtume Muhammad (SAW) ni kwa sababu alitumwa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477046 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26