Gazeti la Arab News limeripoti kuwa kundi hilo la vijana linakusanya nuskha za Qur’ani zisizotumiwa majumbani na kuzisambazwa kwa Waislamu wa Saudi Arabia na Yemen.
Inatazamiwa kuwa nakala 1500 zitakusanywa katika mpango huo utakaoendelea hadi siku ya Ijumaa ijayo. 323901