IQNA

Watakaokuwa Karibu Zaidi na Mtume (SAW) Siku ya Qiyama

Mtume SAW amesema: Watu watakaokuwa karibu zaidi nami na watakaostahiki zaidi Shifaa yangu katika Siku ya Qiyama ni wale ambao ni wakweli, waaminifu, wenye akhlaqi njema na waliokaribu zaidi na watu. Wasail al-Shia, Juz. 8, Uk. 514.