IQNA

TEHRAN (IQNA) – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyotangulia, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia, imepambwa kwa munasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa mtukufu huyo.

Maulid ya Imam Ridha AS ni 11 Dhul Qaada na mwaka huu inasadifiana na Julai 3.

 
 
Kishikizo: imam ridha as ، waislamu