IQNA

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa mji wa Lamu katika pwani ya Kenya wamejumuka na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.

Mwaka huu siku ya Ashura, 10 Muharram 1432 ilisadifiana na Agosti 30 2020. Kutokana na janga la COVID-19, Waislamu katika mengi duniani, hawakujitokeza mitaana kama ilivyo adha bali wameshiriki katika maombolezo ya Ashura katika maeneo maalumu kama wanavyoonekana hapa wanafunzi katika moja ya madrassah mjini humo.

Siku ya Ashura katika mji wa Lamu nchini Kenya

Siku ya Ashura katika mji wa Lamu nchini Kenya

 

Siku ya Ashura katika mji wa Lamu nchini Kenya

Kishikizo: lamu ، kenya ، ashura ، imam hussein as