lamu

IQNA

IQNA-Waislamu wa mji wa Witu katika Kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya wameshiriki katika maombolezo ya siku ya Ashura, ambayo ni kumbukumbu ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali (AS), watu wa nyumba yake na wafuasi wake watiifu katika uwanda wa Karbala, Iraq mwaka 61 Hijria Qamaria. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Umul Banin mjini humo. Hizi hapa chini klipu za maombolezo hayo.
Habari ID: 3482406   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/26

TEHRAN (IQNA)- -Maelfu ya watu kutoka kote duniani wamehudhuria sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW ambazo zimefanyika katika Kisiwa cha Lamu eneo la Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3474508   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika eneo la Matondoni, kaunti ya Lamu nchini Kenya leo wameshiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474356   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa mji wa Lamu katika pwani ya Kenya wamejumuka na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473120   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wageni 20,000 kutoka kote duniani wanahudhuria sherehe za Maulid ya Mtume SAW inayofanyika katika Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3471307   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/12