IQNA

Waislamu wa mji wa Arusha nchini Tanzania walijimuika na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Mwaka huu siku ya Ashura, 10 Muharram 1432 ilisadifiana na Agosti 30 2020.