Chuo Kikuu cha UAE chafungua vituo vya kuhifadhi Qur'ani Uganda, Kenya, na Comoro
Habari ID: 3480549 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16
IQNA- Qari wa kimataifa wa Iran Ahmad Aboulghasemi, ametembelela Kenya katika siku za kwanza za mwezi mtukufu wa Ramadhani na kushiriki katika vikao kadhaa vya qiraa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480304 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04
Haki za Waislamu
IQNA – Shule ya Oshwal Academy nchini Kenya meamriwa na Mahakama Kuu kuwaruhusu wanafunzi wa Kiislamu kuswali Swala ya Adhuhuri ndani ya shule hiyo.
Habari ID: 3479889 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
Uislamu na Jamii
IQNA - Magereza yote nchini Kenya yameagizwa kutenga ardhi kwa ajili ya ujenzi wa misikiti na makanisa.
Habari ID: 3479403 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe ilifanyika katika mji mkuu wa Kenya wa Nairobi kuwaenzi washindi wa mashindano ya hivi karibuni ya Qur'ani.
Habari ID: 3479322 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Hija 1435
IQNA-Waziri wa Ulinzi Kenya Aden Duale Jumatatu aliaga kundi la kwanza la Wa kenya 300 waliokuwa wanaelekea nchini Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Hija.
Habari ID: 3478931 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
NAIROBI (IQNA) - Waislamu wa Kenya wameitaka serikali ya nchi hiyo ya Kiafrika kuvunja uhusiano na utawala wa Israel kutokana na mauaji yake ya watu wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477745 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17
Diplomasia
KAMPALA (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.
Habari ID: 3477275 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/13
Katika safari ya Rais Ebrahim Raisi nchini Kenya
NAIROBI (IQNA)- Marais William Ruto wa Kenya na Ebrahim Raisi wa Iran wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika sekta mbali mbali. Hayo yamebainika katika hotuba za marais hao leo mjini Nairobi baada ya mazungumzo.
Habari ID: 3477268 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12
Mauaji
TEHRAN (IQNA)- Rais William Ruto wa Kenya ameunda tume ya kuchunguza mauaji katika kanisa moja katika kaunti ya Kilifi eneo la pwani nchini humo na halikadhalika ameunda jopo kazi la kuchunguza taasisi za kidini nchini humo.
Habari ID: 3476958 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Rais William Ruto wa Kenya amewatumia Waislamu salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476754 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/24
Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Kenya William Ruto alisitisha hotuba yake siku ya Jumatatu ili kuonyesha heshima kwa Adhan, ambayo pia inajulikana kama wito wa Kiislamu kwa maombi.
Habari ID: 3476671 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/07
Waislamu na Siasa Kenya
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya amemuonya mwanasiasa maarufu Muislamu nchini humo kuhusu kuutumia Msikiti kama jukwaa la kisiasa.
Habari ID: 3476376 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08
Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Ulinzi nchini Kenya, Aden Duale Jumanne ameunga mkono vazi la Hijabu ambapo amewataka wanokerwa na wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi hilo la stara nchini Kenya watafute nchi nyingine ya kuishi.
Habari ID: 3476284 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21
Hali ya Quds
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna mamlaka yoyote katika mji wa Quds (Jerusalem) na kwamba Hamas itaendelea kuupigania mji huo hadi utakapokombolewa.
Habari ID: 3475435 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28
QOM (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Iran Mh. Joshua Gatimu ametembelea Haram Takatifu ya Bibi Maasuma - Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-katika mji wa Qum.
Habari ID: 3475222 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08
TEHRAN (IQNA) - Januari 11 2022 ilikuwa siku ya huzuni kwa Waislamu wa Afrika Mashariki na Ulimwengu wa Kiswahili kwa kuondokewa na Sheikh Abdillahi Nassir, aliyekuwa mwanazuoni nguli wa Taaluma za Kiislamu na lugha yetu aushi ya Kiswahili.
Habari ID: 3474921 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12
TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Marehemu Hajj Sheikh Abdullahi Nassir Juma Bhalo, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu na kiongozi wa kimaanawi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia Afrika Mashariki imefanyika katika Msikiti wa Imam Ja'far Sadiq AS katika Chuo Kikuu cha Al-Bayt AS katika mji mtakatifu wa Qum.
Habari ID: 3474817 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17
Inna Lillah wa Ina Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
Habari ID: 3474792 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kenya imeazimia kushirikiana na misikiti pamoja na makanisa nchini humo ili kuongeza idadi ya wale wanaodungwa chanjo ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3474765 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04