IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limemalizika Jumamosi mjini Tehran baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano. Mkutano huo umefanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW au Maulid.