Hija 1445
Waumini watembelea Msikiti wa Mtume (SAW) Madina kabla ya Hija
IQNA - Msikiti wa Mtume SAW uliopo Madina -al-Masjid al-Nabawi- unatembelewa na waumini kutoka nchi mbalimbali wanaowasili Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Hija ya kila mwaka.