IQNA

Picha za Sherehe za Kufunga Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow

IQNA - Sherehe za kufunga Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow zilifanyika tarehe 8 Novemba 2024, katika Hoteli ya Cosmos katika mji mkuu wa Russia. Washiriki bora walitunukiwa katika hafla hiyo.