IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Kipande Cha Kuvutia kutoka kwa Tilawa ya Qur’ani ya Hamed Shakernejad

IQNA- Usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa kweli ni sauti mbinguni, ambapo kila aya ina thawabu kubwa kwa mwenye kuisoma, na kusikiliza kwake huleta faraja kwa nyoyo.

Katika mfululizo wa Kisomo cha Mbinguni, tumekusanya nyakati za hisia, ikhlasi, uzuri wa sauti na vifungu vilivyoteuliwa vya tilawa za magwiji wa Qur’ani kutoka Iran, ili kuacha urithi wa kusikika wa sanaa ya usomaji wa Qur’ani na hali ya kiroho iliyojaa nuru.

Hapa chini unaweza kutazama sehemu ya tilawa ya Hamed Shakernejad, qari mashuhuri wa kimataifa kutoka Iran. Tunatumaini kuwa kazi hii itakuwa hatua ndogo lakini yenye maana katika kuimarisha uhusiano wa karibu na maneno ya Wahyi.

4293796

 

Kishikizo: Shakernejad ، QURANI TUKFU