IQNA

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya qarii marufu wa Iran nchini Ujerumani

18:33 - May 18, 2021
Habari ID: 3473923
TEHRAN (IQNA) –Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Ustadh Hamed Shakernejad alitembelea Ujerumani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 2019.

Katika safari hiyo, Ustadh Shakernejad alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika mahafali kadhaa za Qur'ani alizoal;ikwa.

Klipu hii hapa chini ni ya Mahafali ya Qur'ani ya mji wa Hamburg ambapo anasoma baadhi ya aya za Sura Maryam katika Qur'ani Tukufu.

Ustadh Shakernejad ni maarufu sana nchini Iran na vijana wengi hujaribu kuiga mbinu yake ya qiraa ya Qur'ani Tukufu. Aliwahi kushinda mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia mwaka 1996.

3972111

Kishikizo: qiraa ، Shakernejad ، qurani tukufu
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha