iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema maqari na wa soma ji wanaweza kusisitiza mara kadhaa juu ya baadhi ya maneno ya kitabu hicho kitukufu katika u soma ji wao.
Habari ID: 3315977    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19