Wapendwa wanachuo vijana wa Marekani! Huu ni ujumbe wetu wa mfungamano na mshikamano na nyinyi. Nyinyi hivi sasa mumesimama upande sahihi wa historia - ambayo kurasa zake zinaendelea kufunguka.Sasa mmeunda sehemu ya mrengo wa Muqawama, alisema Ayatullah Khamenei katika barua ya Mei 25, 2024, akiwahutubia wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani.