iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amebainisha kuwa maandamano yanayoongozwa na wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani katika kuunga mkono Palestina nni yamegeuza vyuo vikuu hivyo kuwa tawi la mrengo wa Muqawama (mapambano)
Habari ID: 3478933    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Nasaha
IQNA - Mwandishi wa Syria na mchambuzi wa masuala ya kisiasa ameitaja barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani kuwa "ni muhimu sana na yenye ushawishi mkubwa."
Habari ID: 3478920    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02

Nasaha
IQNA-Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewaandikia barua wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani ambao wamekuwa katika mstari wa mbele kutetea wa kijasiri maslahi ya watu wa Palestina. Hii hapa ni matini ya barua hiyo ya kihistoria.
Habari ID: 3478914    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/01

Nasaha
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mwamko wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel na kusisitiza kuwa, wanachuo hao wa Marekani wamesimama katika upande sahihi wa historia huku akiwanasihi wajifunza Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3478903    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30

Mtazamo
IQNA - Kongamano limefanyika katika Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran (TIBF) kujadili barua mbili za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi.
Habari ID: 3478827    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15

TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imewatumia barua Wapalestina wanaoishi katika kambi za wakimbizi nchini Syria na kuwashukuru kwa jumbe za pongezi kufuatia ushindi katika vita vya Ghaza.
Habari ID: 3474095    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

Msomi wa Canada
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Lethbridge nchini Canada amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imejaa ukweli wa kimaanawi ambao unahusu watu wa rika na zama zote.
Habari ID: 3468272    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Ali Larijani, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kwa vijana wa Magharibi ni msingi mpya wa kuamiliana ulimwengu wa Kiislamu na Magharibi ambao umejengeka juu ya msingi wa mantiki, ukweli wa mambo na kuheshimiwa tamaduni.
Habari ID: 3460507    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06

Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Gholam Ali Khoshrou amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi iliwasilisha matazamo halisi wa Uislamu.
Habari ID: 3459723    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/04

Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi imeakisiwa kwa wingi katika vyombo vya habari vya kigeni.
Habari ID: 3458797    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/30

Shirika la Mawasiliano na Utamaduni wa Kiislamu Iran (ICRO) limetayarisha tarjama ya Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lugha 21 duniani.
Habari ID: 2910931    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28

Tovuti maalumu imeundwa kwa ajili ya kusambaza barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2880257    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/22

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki moon ambapo mbali na kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu ameambatanisha barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2822425    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/08