IQNA

Juzuu ya 16 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 16 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na Hamidreza Ahmadivafa wa Iran. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Juzuu ya 16 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

 

Kishikizo: juzuu