IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 17 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Hamidreza Ahmadivafa, Mahdi Adeli, na Ali Kamran.. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.