IQNA

Juzuu ya 26- Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 26 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mohammadreza Purzargari, Hossein Rostami, Mahdi Gholamnejad, and Ali Kamran. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Daily Quran Recitation: Tarteel of Juz 26

Kishikizo: juzuu