IQNA

Juzuu ya 22- Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 22 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Ali Ghasemabadi, Mahdi Gholamnejad, Ali Kamran, na Mohammad Javad Javari.Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Juzuu ya 22- Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

Kishikizo: juzuu