Juzuu ya 27- Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 27 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Masoud Nouri, Hamidreza Ahmadivafa, Seyyed Mohammad Kermani, na Vahid Barati. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.