IQNA

Juzuu ya 23 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 23 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na Qari Hamidreza Ahmadivafa wa Iran. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Juzuu ya 23 -  Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

Kishikizo: juzuu